Ijumaa, 19 Ramadan 1445 | 2024/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Taarifa ya watu wa Viungani mwa Aleppo Kaskazini, ya Kuunusuru Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa!

Mkusanyiko wa watu na wakaazi wa viungani mwa Aleppo Kaskazini wanalaani uadui wa Mayahudi dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuyataka majeshi kusonga ili kuukomboa kutokana na najisi ya Mayahudi.

Ijumaa, 16 Ramadhan 1444 H – 07 Aprili 2023 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu