Je, Ziara ya Putin nchini Uzbekistan Yamaanisha Nini?
- Imepeperushwa katika Uzbekistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 26/5/2024, kwa mwaliko wa Rais Shavkat Mirziyoyev, Rais wa Urusi Vladimir Putin alifanya ziara ya kiserikali nchini Uzbekistan. Hii ni ziara ya tatu ya kigeni ya Putin baada ya kuchaguliwa kuwa rais.