Mkutano wa Kilele kati ya Erdogan na Putin ni Muendelezo wa Vita dhidi ya Watu wa Ash-Sham na Mapinduzi yao
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mujibu wa taarifa ya mwisho, Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, walithibitisha mnamo Ijumaa, 5/8/2022, kuamsha mchakato wa kisiasa na mapambano dhidi ya mashirika yote ya kigaidi nchini Syria.