Ijumaa, 14 Dhu al-Qi'dah 1444 | 2023/06/02
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Marekani Inasisitiza Kuikalia Anga ya Afghanistan, Sisi Tunasisitiza Kusimamishwa Khilafah!

Kamanda wa Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM), Jenerali Michael Kurilla aliwasilisha ripoti kwa Bunge la Congress kuhusu operesheni yao ya kijasusi kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huku akisema kuwa Taliban wana dhamira kubwa ya kuiangamiza Dola ya Kiislamu-Khorasan (IS-K) nchini humo, lakini kulingana na yeye, Taliban hawana uwezo wa kuzuia mashambulizi ya kigaidi ya mustakbali ya kundi hilo lililotajwa. Hivyo basi, Marekani inaongeza juhudi za uchunguzi juu ya anga ya Afghanistan.

Soma zaidi...

Kuhuisha Sheria ya Hifadhi ya Jamii ni Uhalifu na Kunyima Riziki ya Watu na Mfereji Mpya Ulioongezwa na Mamlaka ya Palestina Kushambulia Ukakamavu na Uchumi wao

Kwa ujanja na hila, siku hizi Mamlaka ya Palestina (PA) inatafuta kufufua Sheria maarufu ya Hifadhi ya Jamii, ambayo watu walisimama imara dhidi yake miaka iliyopita, kukataa kushambuliwa kwa mali zao, matunda ya juhudi zao na riziki zao kwa kisingizio cha "kuwadhamini!"

Soma zaidi...

Tarehe ya Makataa ya Kushindwa Kulipa Deni ya Marekani Yakaribia kwa Kasi

Mnamo tarehe 12 Mei, Waziri wa Hazina wa Marekani Janet Yellen aliandika: 'Endapo Bunge la Congress halitaongeza kiwango cha deni, tutakabiliwa na janga la kiuchumi na kifedha. Ni muhimu sana tuhakikishe kuwa hili linafanyika." Yellen ni mwanauchumi mwenye uzoefu ambaye hapo awali alikuwa mwenyekiti wa 15 wa Hizina ya Marekani. Alirudia onyo lake mnamo Mei 15:

Soma zaidi...

Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina inamuomboleza mmoja wa wanaume wa Hizb kutoka kizazi cha kwanza ambaye alifanya kazi katika safu zake tangu miaka ya 1950, marehemu mbeba da’wah, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Mtukufu:

Ustadh Muhammad Abdullah Amr (Abu Abdullah)

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu