Uingizaji Usekula na Kutengwa kwa Mitaala ya Elimu ni Sehemu ya Sera Fisidifu ya Serikali katika Nchi za Kiislamu ... Uoanishaji wa Aina za Jinsia kama Muundo
- Imepeperushwa katika Jordan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuzingatia shambulizi la kimpangilio la kuyagonga maadili ya Uislamu katika nchi za Kiislamu, Wizara ya Elimu nchini Jordan ilisambaza vitabu kwa idara za elimu 42 katika magatuzi anuwai kutekeleza mpango wa mafunzo kwa walimu wa kiume na wa kike juu ya "uoanishaji jinsia katika elimu na mazingira ya shule.”



