Jumatano, 19 Dhu al-Qi'dah 1447 | 2026/05/06
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Serikali ya Mpito Imeweka Mfano wa Aibu kwa Kumkamata Imtiaz Salim, mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh

Katika majira ya mapema Oktoba 4, 2024, serikali ya mpito, kwa desturi ya serikali ya kidikteta ya Hasina aliyeondolewa madarakani, ilimkamata Imtiaz Salim, mwanachama wa Hizb ut Tahrir/Wilayah Bangladesh. Kwa mujibu wao, kosa lake ni kwamba alishiriki katika shughuli za kisiasa za Hizb ut Tahrir.

Soma zaidi...

Mkataba wa Ummah Unatokana na Itikadi yake Safi, hautoki kwa Demokrasia Batili!

Demokrasia kwa ufupi ni mfumo wa ukafiri na hauna uhusiano wowote na Uislamu, na yeyote anayeilingania au kutaka utabikishwaji wake ni wa kutiliwa shaka na mpotoshaji, kwa sababu Ummah unatamani kurudisha heshima na fahari yake kupitia Uislamu na ushindi wa Mwenyezi Mungu tunapomnusuru Yeye na Dini Yake kwa kuregea kwenye umoja wetu katika mfumo wa Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.

Soma zaidi...

Haishangazi hata kidogo kwamba Serikali ya Modi, kwa kuhofia kutokea kulikokaribia kwa Khilafah ingepiga marufuku Hizb ut Tahrir - Chama cha Kweli cha Kisiasa na Kisicho na Vurugu

Kwa kuhofia kuibuka Khilafah inayoongozwa na Hizb ut Tahrir, Wizara ya Mambo ya Ndani ya India (MHA) mnamo Alhamisi iliyopita (Oktoba 10, 2024) ilipiga marufuku Hizb ut Tahrir, ikieleza kwamba “inataka kusimamisha dola ya Kiislamu ya kimataifa na Khilafah, ikiwemo India, kupitia jihad na shughuli za kigaidi”.

Soma zaidi...

“Mngurumo wa Jeshi la Waislamu chini ya Khilafah unatosha kupambana na Umbile Haramu la Kiyahudi” Chini ya Bango hili, Hizb ut Tahrir/Wilayah Bangladesh iliandaa Maandamano katika Misikiti ya Dhaka na Chittagong

Tawala za kisekula katika nchi za Waislamu - vibaraka wa Magharibi, zinashirikiana katika vita vinavyoongozwa na Marekani dhidi ya Uislamu na Waislamu. Watawala wa Kiarabu katika Mashariki ya Kati na watawala wa Waislamu katika eneo letu, wanasaidia mtawalia kuimarisha mikono ya umbile haramu la ‘Israel’ na India. Ili kuchelewesha kudhihiri Khilafah - mlinzi wa Umma wa Kiislamu - wanaeneza uongo, propaganda na ukandamizaji dhidi ya wito wa Khilafah na Hizb ut Tahrir.

Soma zaidi...

Wafu Wetu wako Peponi Wafu Wenu wako Motoni

Ulimwengu ulipokea habari za kuuawa kishahidi kwa shujaa Yahya Sinwar; ambaye alikuwa mwiba ubavuni na donge kwenye koo ya umbile la Kiyahudi na wale waliokuwa nyuma yake, waliopanga Operesheni Kimbunga cha Al-Aqsa mnamo Oktoba 7, 2023, operesheni ambayo ilitikisa umbile la Kiyahudi, kutishia uwepo wake, na kutuma ujumbe wa vitisho kwa viongozi wa nchi za makafiri; maana yake ni kwamba Waislamu wanakuja!

Soma zaidi...

Ikiwa Sera ya Mambo ya Nje ni Kufanya Urafiki na Adui, Basi Ziara ya Adui Hakika Itakaribishwa!

Inasikitisha kwamba Malaysia inaendelea kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na China (na pia Urusi), licha ya ukatili uliothibitishwa na ukandamizaji unaofanywa na nchi hiyo ya kikomunisti dhidi ya Waislamu wa Uighur kwa miongo kadhaa. Mbali na uhusiano wa kidiplomasia, Malaysia pia imeanzisha uhusiano mkubwa wa kibiashara na China, na kuifanya kuwa mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa nchi hiyo.

Soma zaidi...

Kuhusu Kesi ya Mahakama ya Rufaa ya Wafungwa wa Zamani wa Kisiasa

Kama tulivyotaja awali, mahakama ya rufaa inaendesha kesi ya wafungwa 15 wa zamani wa kisiasa huko Tashkent. Wanaume kumi na watano kati ya 23 (Mashababu), ambao awali walifungwa miaka 20 kwa fikra na imani zao, walihukumiwa mnamo Julai mwaka huu kifungo cha kuanzia miaka 7 hadi 14, wengi wao walihukumiwa kifungo katika kituo maalum cha uzuizi cha serikali.

Soma zaidi...

Uislamu Pekee ndio Utakaonusuru Wanadamu na Ukandamizaji wa Kodi

Mfumo wa uchumi wa kibepari hutegemea kodi kandamizi pekee kama chanzo kikuu cha mapato. Katika hali hiyo inatarajiwa serikali daima itabuni na kulazimisha kodi mbalimbali ambazo ni wazi zitakuwa mzigo kwa raia wa kawaida. Serikali za kidemokrasia za kibepari badala ya kufanya bidii kuondoa mzigo wa kodi, zenyewe zihakikisha kila mtu analipa kodi.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu