Jumanne, 07 Dhu al-Hijjah 1446 | 2025/06/03
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mzozo Kati ya Azerbaijan na Armenia

"Rais wa Azerbaijan, Ilham Aliyev alisema katika hotuba iliyopeperushwa kwenye runinga ya serikali jioni ya Jumapili tarehe 4/10/2020 kwamba Armenia lazima iweke ratiba ya kujiondoa kutoka katika eneo la Nagorno-Karabakh kabla ya kusitisha makabiliano yaliyofanyika huko takriban wiki moja iliyopita ... Aliyev alichukulia kuwa kuudhibiti mji wa Gabriel jana, Jumapili, ni funzo kwa Armenia na wafuasi wake, na inapaswa kuzingatia kutokana na hilo, kama alivyosema." (Al-Jazeera, 5/10/2020).

Soma zaidi...

Siku ya Kila Mwaka ya Ukumbusho Utekelezaji Wake Umeharamishwa Nchini Kazan

Kamati ya Utendaji ya Kazan imefutilia mbali ruhusa ya Kituo cha Umma cha Tatar (ATPC) kufanya mnamo Oktoba 18 mkutano wa hadhara katika bustani ya Tinchurin kwenye hafla ya "Hәter kөne" - siku ya kila mwaka ya ukumbusho wa watetezi wa Kazan waliokufa kutoka kwa vikosi vya Kutisha vya Ivan mnamo 1552.

Soma zaidi...

Kujiunga kwa Al-Burhan na Hamdok na Gari ya Moshi ya Usaliti Kunathibitisha Kujitolea Kwao kwa Maadui na Uaminifu Wao Kwao Na Yawajibisha Kazi ya Kusimamisha Khilafah (Imetafsiriwa) Watawala wa Sudan walijiunga na treni ya usal

Watawala wa Sudan walijiunga na treni ya usaliti, baada ya kukubali rasmi kuanza hatua kuelekea usawazishaji wa mahusiano na umbile la Kiyahudi, kufuatia mazungumzo ya watu wanne ambayo yaliwakutanisha Al-Burhan

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu