Jumapili, 02 Dhu al-Qi'dah 1447 | 2026/04/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Zanzibar Yahitaji Suluhisho la Kiislamu Sio Serikali ya Mseto ya Kidemokrasia

Mnamo tarehe 06/12/2020 chama kikuu cha upinzani cha Zanzibar Alliance for Change and Transparency-ACT-Wazalendo kilitangaza kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU). Halafu mnamo tarehe 07/12/2020, Rais Hussein Mwinyi alimteua Seif Sharrif Hamad wa ACT kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na mnamo 08/12/2020 sherehe ya kuapishwa ilifanyika Ikulu ya Zanzibar.

Soma zaidi...

Serikali Inaendelea Kudai kuwa Mlinzi wa Haki za Wanawake kwa Jina la Kupambana na Unyanyasaji Dhidi ya Wanawake Bila ya Kujua Sababu Halisi za Unyanyasaji!

Jukwaa la Shirika la Habari la Sudan (SUNA) lilikuwa mwenyeji wa Kitengo cha Kupambana na Unyanyasaji dhidi ya Wanawake na Watoto ili kuzungumza juu ya kampeni ya kupambana na unyanyasaji dhidi ya wanawake na kutangaza uzinduzi wa kampeni ya siku 16 ya kupambana na unyanyasaji na ubaguzi,

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu