Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 314
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 314
Vichwa Vikuu vya Toleo 314
Afisi Kuu ya Habari inafuraha kuwaletea wafuasi na wageni wake wa Tovuti za Afisi Kuu ya Habari video ya Hizb ut Tahrir, ambayo imebeba jina la "Nani Hizb ut Tahrir?"
Kashfa dhidi ya matukufu ya Uislamu imekuwa ni jambo la kuendelea kwa Makafiri kuonyesha ghadhabu na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Uchaguzi wa uraisi wa Amerika umeonyesha mgawanyiko mkubwa nchini Amerika na kile ambacho raisi wa Amerika Donald Trump kwa muda mrefu akicheza nacho.
Ijumaa tarehe 30 Oktoba 2020,wanaharakati wa Hizb ut-Tahrir/ Kenya walifanya msururu wa maandamano baridi ya kutetea hadhi ya bwana Mtume Muhammad (Rehema na Amani za MwenyeziMungu zimshukie Yeye na Aali zake).
Wavuti wa Kiarabu ya BBC, chini ya kichwa "Unyanyasaji: siri iliyofichuliwa katika maisha ya waandishi wa habari wa kike wa Kiarabu," uliwasilisha hali tatu mbaya kwa waandishi wa habari wa kike kutoka nchi tofauti za Kiarabu, ambao walizipitia wakati wakiendelea na kazi zao.
DVD za Kampeni ya Wilayah ya Syria: “HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!”
Lile linaloitwa Baraza Ulaya la Kuzuia na Kupambana na Unyanyasaji dhidi ya Wanawake na Ukatili wa Kinyumbani lilihitimisha makubaliano yanayojulikana kama "Makubaliano ya Istanbul" na kufungua mlango wa kutiwa kwake saini mnamo 11 Mei 2011 jijini Istanbul,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo katika Kambi ya Mji wa Qah “HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika”