Baada ya Taarifa ya Naibu Waziri wa Kigeni wa Amerika, Asiyekuwa na Ruwaza Ndiye Pekee Atakayedumisha Muungano pamoja na Washington
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwenye mahojiano na Jamshyd N. Godrej yaliyopeperushwa mnamo 7 Oktoba 2021, Naibu Waziri wa Kigeni wa Amerika, Wendy R Sherman, alitamka kwa kiburi, "Hatuioni tukijenga uhusiano mpana na Pakistan ...