Kwa Jina la Kugawanya Mamlaka, Watawala wa Pakistan Wanajitahidi Kuokoa Muundo wa Dola ya Kikoloni ya Amerika nchini Afghanistan
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mkutano wa dharura wa Kamati ya Usalama wa Kitaifa ya Pakistan (BMT) uliofanyika mnamo 16 Agosti 2021, ikiongozwa na Imran Khan na kuhudhuriwa na mawaziri wa shirikisho na makamanda wa vikosi vya jeshi la Pakistan, kuhusu Afghanistan,



