Alhamisi, 20 Muharram 1444 | 2022/08/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  16 Jumada II 1442 Na: 1442/45
M.  Alhamisi, 28 Januari 2021

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Huku Wakiwa Wamefinikwa na Aibu na Fedheha, Watawala wa Sudan Wanakubaliana na Umbile la Kiyahudi juu ya Ushirikiano wa Kijasusi na Usalama ili Kuupiga Vita Uislamu
(Imetafsiriwa)

Waziri wa Ujasusi katika umbile la Kiyahudi, Eli Cohen, alikutana na Mwenyekiti wa Baraza la Enzi kuu Abdel Fattah Al-Burhan, Waziri wa Ulinzi Yassin Ibrahim, na Waziri Mkuu Abdullah Hamdok, na ilikubaliwa, kama ilivyo fichuliwa na vyombo vya habari vya Kiyahudi na kunyamaziwa na vyombo vya habari vya Sudan, juu ya ushirikiano wa kijasusi na usalama katika mustakbali wa hivi karibuni, kuzuia mashirika na shughuli za kigaidi kwa mujibu wa gazeti la Al-Sharq Al-Awsat, Toleo Na (15402), la Alhamisi terehe 28/1/2021 M.

Hakika ni aibu kwa nchi kukubaliana na adui yake mnyakuzi wa ardhi yake na matukufu yake, juu ya ushirikiano wa kijasusi na usalama, ili kuyapiga vita mashirika ambayo yanafanya kazi ya kuitakasa Palestina kutokana na najisi ya Mayahudi, ama kupambana na ugaidi kunamaanisha kupigana na Uislamu kama mfumo wa maisha. Hili ndilo nguvu za Magharibi na mawakili wao miongoni mwa vibaraka katika nchi za Waislamu wanalolipiga vita kwa jina la vita dhidi ya ugaidi. Je! Ni fedheha ilioje ambayo watawala wa Sudan wanajipenyeza kwayo, na ni aibu ilioje wanayowatia watu wao kwa kufanya kitendo hiki cha kuchukiza?!

Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan, na pamoja na sisi watoto wenye ikhlasi wa Ummah huu, tunapinga vikali makubaliano haya ya uhaini yaliyotiwa saini na umbile la Kiyahudi na tunasisitiza yafuatayo:

Kwanza: Waislamu wa Sudan hawatakubali usaliti kama huo, na hili ndilo linalo fasiri usiri wa vyombo rasmi vya habari vya serikali kuhusu mkutano huu muovu.

Pili: Hatua rasmi ambayo lazima ichukuliwe dhidi ya umbile hili katili la Kiyahudi ni ni kuchukua hali halisi ya kivita nalo, sio usawazishaji mahusiano na makubaliano ya khiyana kwa Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na waumini.

Tatu: Dola ya Khilafah inayokuja hivi karibuni, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, itafanya kazi kuikomboa Palestina kutoka kwa Mayahudi, na nchi zote za Waislamu, na itawawajibisha wasaliti wote na watu wote wenye kusawazisha mahusiano kwa kumsaliti kwao Mwenyezi Mungu, Mtume Wake na Waumini.

Nne: Haijalishi namna gani vibaraka wa wakoloni makafiri wa Kimagharibi wanavyofanya katika kupitisha makubaliano na umbile hili la kuchukiza, itawaongezea tu machoni pa Ummah, fedheha na ghadhabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt) duniani, na adhabu huko akhera ikiwa hawatatubu na kurudi nyuma kutokana na khiyana yao, na wafute dhambi zao kupitia kuipa nusra Hizb ut-Tahrir ili isimamishe Rashida ya pili kwa njia ya Utume ambayo italing'oa umbile hili ovu, na kuirudisha Ardhi Tukufu kwa mikononi mwa Uislamu, kusadikisha maneno ya Kipenzi (saw):

            »لَتُقَاتِلُنَّ الْيَهُودَ، فَلَتَقْتُلُنَّهُمْ حَتَّى يَقُولَ الْحَجَرُ: يَا مُسْلِمُ هَذَا يَهُودِيٌّ فَتَعَالَ فَاقْتُلْهُ«

Kwa yakini mtapigana na Mayahudi, na kwa yakini mtawauwa mpaka jiwe litasema: Ewe Muislamu, Yahudi huyu hapa (amejificha nyuma yangu); basi njoo umuue”.

Ibrahim Uthman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu