Uzinduzi wa kampeni: "Hapana kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa; Ndio Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!"
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hakika Wamagharibi makafiri chini ya uongozi wa Amerika wamedumu katika kupanga dhidi ya "mapinduzi" ya Ash-Sham na watu wake kwa muda wa miaka tisa iliyopita,



