Ijumaa, 16 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Tunisia

H.  26 Rabi' I 1442 Na: 1442/15
M.  Alhamisi, 12 Novemba 2020

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Kuhusu Ziara kwa Waziri wa Maswala ya Kidini

  Siku ya Jumanne asubuhi 10/11/2020 M, ujumbe kutoka Hizb ut-Tahrir / Wilayah Tunisia, uliojumuisha Mkuu wa Afisi ya Kisiasa, Ustadh Yassin Bin Yahya, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano, na Ustadh Muhammad Al-Habib Al-Hajjaji, mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano, ulimtembelea Waziri wa Maswala ya Kidini, Bwana Ahmed Adhoum, afisini kwake katika makao makuu ya Wizara hiyo. Kulikuwa na majadiliano naye juu ya suala la kufunga misikiti na msimamo wa Hizb kuhusu hilo. Ujumbe huu wa Hizb ulimbebesha waziri huyo mas'uliya ya kitendo hiki ambacho kinapingana na hukmu za kisheria zinazohusiana na hili, na kumtaka achukue hatua ili kukomesha uhalifu huu mara moja. Ujumbe wa Hizb ulibaini mwingiliano wa waziri na matakwa ya Hizb, ambaye alionyesha utayari wake wa kuondoa marufuku hiyo kama ilivyo katika kikao cha bunge kitakachofanyika Novemba 15.

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Katika Wilayah Tunisia

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Tunisia
Address & Website
Tel: 71345949 / 21430700
http://www.ht-tunisia.info/ar/
Fax: 71345950
E-Mail: tunis@htmedia.info

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu