Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa: Viangusheni Viti vya Utawala na Muhamasishe Majeshi!
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa:
Viangusheni Viti vya Utawala na Muhamasishe Majeshi!
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa:
Viangusheni Viti vya Utawala na Muhamasishe Majeshi!
Ni zaidi ya siku saba zimepita tangu viumbe waoga zaidi kuwashambulia binti zetu, dada zetu na mama zetu nchini Palestina.
Hizb ut Tahrir/ Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina: Enyi Majeshi ya Ummah... Watu wa Gaza Wanakusubirini, Je, Mtaitika?
Maelfu ya watu wa Palestina walijitokeza kwa wingi katika mji wa Hebron kama wito kwa Umma,
Kisimamo cha Los Angeles Kilichoyaomba Nusra Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa!
Kwa kuzingatia ushujaa ambao mujahidina mashujaa waliutenda katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea katika mashambulizi yake ya Msikiti wa Al-Aqsa,
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi
Hizb ut-Tahrir / Amerika (Washington DC) inazungumzia dori ya jamii ya Waislamu jijini Washington, DC, ikiwemo wajumbe anuwai wa afisi za mabalozi, na kuwasihi kukumbuka wajibu wao kama Waislamu ili kuwalinda ndugu na dada zao Waislamu mjini Gaza.
Wito wa Sheikh Essam Amira (Abu Abdulla) kwa vikosi vya jeshi la Uturuki kuwanusuru Mujahidina na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa
Mujahidina madhubuti wanapigana kwenye uwanja wa vita kwa dhamira na azma, huku adui muoga akishambulia kutoka mbali kwa ndege zao na mizinga, wakiharibu nyumba, wakiwa na nia ya kuua wanawake, watoto, na vikongwe. Mnasubiri nini?