Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 455
- Imepeperushwa katika Jarida la Al-Waie
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kalima yenye kichwa “Jueni kwamba katika Mapinduzi yenu munaelekea Njia Panda!” Imetolewa na Ustadh Abdo Al-Dalli (Abu Al-Mundhir), Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria.
Dkt. Abdur Rafay kuhadithia maelezo yanayoatua moyo kutoka Rafah na kuhutubia suluhisho la Palestina.
Hizb ut Tahrir inatoa pongezi na baraka zake za dhati kwa Umma wa Kiislamu, wenye kulemewa na majeraha na kustahamili shinikizo la moja kwa moja na lisilo la moja kwa moja la kikoloni. Kwa mnasaba huu, tunawataja makhsusi watu wetu wenye subira mjini Gaza Hashim na kwa jumla katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina, tukimuomba Mwenyezi Mungu azifanye siku za Idd hii kuwa chanzo cha utulivu wa nyoyo zao.
Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Adha Al-Mubarak 1445 H.
Pongezi kutoka kote ulimwengu kutoka kwa kundi la wabebaji da’wah miongoni mwa mashababu wa Hizb ut Tahrir kwa mnasaba wa Idd Al-Adha 1445 H.
Idd Mubarak kwa Niaba ya Hizb ut Tahrir / Amerika, tunamuomba Mwenyezi Mungu (swt) azikubali Hijja za Mahujaji kama Hajj Mabrur na auruzuku Ummah ushindi.
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Jordan Yamuomboleza:
Dkt. Muhsin Muhammad Hilal Al Khalif Al Azamat (Abu Hafs)
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Khutba ya Idd ul-Adha Al-Mubarak 1445 H – 2024 M
Watawala wa Pakistan wanawatia mbaroni miongoni mwa safu za Hizb ut Tahrir/Wilayah Pakistan ili kuizuia Hizb kutaka kuhamasishwa jeshi la Pakistan kuinusuru Gaza. Lakini Umma mzima unatoa wito kwa majeshi yake kupigana jihad ili kufikia moja kati ya mema mawili ili kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, basi ukamataji huo utawazuia vipi watu wake?!