Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 382
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na unyakuzi wa umbile la Kiyahudi wa ardhi hiyo iliyobarikiwa na mashambulizi yake ya kuendelea dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuzingirwa kwake na mashambulizi ya miaka 16 ya Ukanda wa Gaza,
Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa kongamano lake la Khilafah la kila mwaka kwa anwani: "Kuamiliana na Watu wenye Mawazo Tofauti Tofauti ndani ya Dola ya Khilafah" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu (Khilafah)
Baada ya Swala ya Ijumaa mnamo tarehe 4/3/2022, katika halaiki ya waumini, na katika kuhitimisha amali zake za kukumbuka miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina ilitoa ombi kutoka kwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kwa Ummah na majeshi yake, ikiwalingania kuharakisha kusimamisha Khilafah na kuwanusuru wabebaji dawah yake.
Hotuba ya kitaifa ya Imran Khan inathibitisha kwamba Pakistan haiwezi kamwe kufanikiwa wakati inafungamana na mfumo wa sasa wa kiuchumi wa kiulimwengu.
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kuhitimishwa kwa kampeni pana iliyoziduliwa na Hizb ut Tahrir / Malaysia katika mwezi mzima wa Rajab 1443 H kwa kichwa “Uislamu Kaffah Unaweza Kupatikana chini ya Khilafah Pekee"
Katika mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kwa kuhitimisha amali angazo pana iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika kipindi chote cha mwezi wa Rajab 1443 H
Hizb ut-Tahrir / Sweden iliandaa maandamano katika mji mkuu, Stockholm, kupinga utekaji nyara wa huduma za kijamii kwa watoto wa Kiislamu ndani ya mfumo wa sera uoanishaji ya Sweden.