Jumatatu, 10 Rabi' al-awwal 1445 | 2023/09/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ni Bishara njema ya Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ aliyesema: “Kisha itakuwepo Khilafah kwa njia ya Utume.” Ambayo kwayo tunaweka tegemeo letu

Mnamo tarehe 7 Mei, Hay’at Tahrir al-Sham (HTS), alivamia nyumba za wanachama wa Hizb ut Tahrir na kuwaweka kizuizini wanachama wake 18. Uhalifu wao ukiwa ni, mara kwa mara kuufahamisha Ummah kwa mitazamo sahihi ya Kiislamu wakati unapoamiliana na masuala mengi ndani ya Syria.

Soma zaidi...

Dola ya Kiislamu Inautaka Uislamu Kuwa ndio Msingi wa Sheria na Hukmu Zote, Sio Baadhi ya Sheria Zilizopitishwa na Mahakama Bandia ya Shariah

Hukmu kubwa imepitishwa na Mahakama ya Shirikisho ya Shariah ya Pakistan. Ilitangaza vifungu vichache vya sheria ya Waliobadili Jinsia ya 2018 kama kinyume na Uislamu. Kwa hivyo, vitakoma kutekelezwa, ilhali sheria iliyosalia itabaki kutekelezwa.

Soma zaidi...

Sakata ya Imran Khan

Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan alikamatwa kwa kasi na maafisa wa kutuliza ghasia alipokuwa mahakamani kujibu mashtaka ya ufisadi na uchochezi. Wafuasi wa Khan waliingia mabarabarani, wakiteketeza magari, kushambulia kambi za jeshi pamoja na nyumba za baadhi ya makamanda.

Soma zaidi...

Wanawake wa Kiislamu nchini Iraq walio katika Mgomo wa Njaa Hawana Msaidizi Chini ya Sheria za Kibepari za Kiliberali

Mnamo tarehe 6 Mei 2023, BBC iliripoti kuwa mamia ya wanawake wamegoma kula katika gereza moja la Iraq katika mji mkuu wa Baghdad. Wanapinga kuzuiliwa kwao kwa kuwa sehemu ya kundi la Dola ya Kiislamu, baada ya kile wanachosema kuwa ni kesi zisizo za haki. Kundi hilo linasemekana kujumuisha raia wa kigeni kutoka Urusi, Uturuki, Azerbaijan, Ukraine, Syria, Ufaransa, Ujerumani na Marekani. "Inafikiriwa kuwa takriban watoto 100 pia wanazuiliwa katika kituo hicho".

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu