Jumapili, 13 Sha'aban 1447 | 2026/02/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Vipi Khilafah Itatatua Umasikini – SEHEMU 2

Uislamu umeidhibiti kadhia ya umilikaji katika njia wazi na thabiti. Kila mtu binafsi anaruhusiwa kupata na kumiliki mali ya kibinafsi juu ya kila kitu ambacho si mali ya Ummah au Dola, kupitia njia ambazo Uislamu umeziruhusu (kazi, biashara, urathi, zawadi, nk.), yaani isipokuwa wizi, ulaghai, rushwa, kamari na riba, ufichaji mali …

Soma zaidi...

Vipi Khilafah Itazuia Dhuluma za Kisiasa?

Demokrasia, uhuru wa rai na haki ya kumchagua na kumhisabu mtawala, ni miito inayo pigiwa debe chini ya serikali za kibinadamu zilizoko leo duniani, lakini, urongo wa miito hii hudhihirika pindi mtu binafsi au kikundi cha watu kinapozikashifu serikali hizi na ufisadi wao, au kinapodai haki ambayo wameipoteza au majukumu ambayo serikali hizi zimefeli kutimiza kwa watu wake.

Soma zaidi...

Utafutaji wa Shahada (Kifo katika Jihadi)

Pamoja na masomo juu ya zana za vita, mikakati na mbinu, utafutaji wa shahada ulitizamwa kama msingi wa fahamu za masomo, uelewaji na ujengaji wa nafsiyya. Utafutaji wa shahada ndio uliotia nishati majeshi ya Kiislamu katika vita, ukiwawezesha kufikia yale ambayo wengine walishindwa kuyafikia na wasingejaribu kuyafikia.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu