Umbile la Bid'ah
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika moja ya mikutano yetu, tulijadili neno "Bid ́ah." Baadhi yetu walisema kwamba inahusisha kila kitu kinachopingana na amri ya Mtunga Sheria (Al-Shaari'), na wengine wakasema kwamba inahusisha tu kukiuka amri ya Mtunga Sheria katika mambo ya ‘Ibadaat (amali za ibada).