Kilicho Nyuma ya Kura ya Maoni Juu ya Kulitenga Eneo la Kurdistan
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni kwa nini Barzani anasisitiza kufanyika kwa kura ya maoni ya kuutenga mkoa wa Kurdistan, licha ya kuwa hakuna uidhinishwaji wa kimataifa au wa kieneo wa kura hii ya maoni? Kulingana na dhurufu zilizoko kwa sasa si kura hii ya maoni iko dhidi ya matakwa ya Wakurdi wenyewe?