Ijumaa, 14 Muharram 1444 | 2022/08/12
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Denmark: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Denmark ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah

- Khilafah Ilianguka… Hivyo Misiba Ikatawala juu ya Umma -

Ustadh Sam Mohabbet / Denmark


- Umma wa Kiislamu na Kazi kwa Ajili ya Khilafah -

Umar Saad / Denmark

- Kalima ya Ustadh Taimullah Abu Laban -

Dola ya Khilafah Husimamishwa kwa Njia ya Mtume (saw) na Sio Kupitia Vikundi vya Kisilaha Vyenye Kutangaza Khilafah

Jumatatu, 17 Rajab 1442 H sawia na 01 Machi 2021 M

[ Muundo wa Kiidara wa Nidhamu ya Utawala ya Kiislamu (Khilafah) ]

Je! Ni Upi Muundo wa Khilafah?

Je! Ni upi muundo alioutekeleza Mtume (saw) na Makhalifa Waongofu (ra)?

Pata majibu ya maswali haya kwenye video hii pamoja na rasimu za ufafanuzi wa muundo wa Dola ya Uislamu (Khilafah).

Imeandaliwa na kuwasilishwa na: Ustadh Taimullah Abu Laban

Ijumaa, 21 Rajab 1442 H sawia na 05 Machi 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Denmark:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Denmark

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu