Ijumaa, 16 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Denmark:

Kongamano la Khilafah 2024 “Miaka Mia bila ya Khilafah!”

Kwa mnasaba wa miaka 100 M (103 H) ya mkoloni kafiri, kwa msaada wa makhaini wa Kiarabu na Kituruki, kuivunja Dola ya Uislamu (Khilafah Uthmani) na kuondolewa kwa mfumo wa utawala katika Uislamu (Khilafah) kutoka kwa maisha ya Umma wa Kiislamu, Hizb ut Tahrir / Denmark inaandaa Kongamano la kila mwaka la Khilafah chini ya kichwa:

"Miaka Mia bila ya Khilafah!"

Tunawaalika Waislamu wote kuhudhuria kongamano hili na kuunga mkono shughuli zetu ili kusimamisha Khilafah Rashida ya Pili kwa njia ya Utume, ahadi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu na bishara njema ya Mtume Wake, rehma na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie.

Jumapili, 22 Sha’aban 1445 H sawia na 03 Machi 2024 M

- Video ya Ualishi wa Kongamano -

Wazungumzaji wa Kongamano:

Ulimwengu ulio katika machafuko / Ustadh Abdul Rahman Muhammad

Je, tuko tayari? / Mhandisi Aqeel Abu Usama

Wajibu wa Kiislamu na kazi ya Hizb ut Tahrir / Dkt. Elias Al-Murabit

Tarehe na Wakati:

Jumamosi, 03 Machi 2024

kl 13:30-17:00

Anwani:

Shiny Star Selskabskslokaler

Gammel Køge Landevej 117 valby 2600

- Alama Ishara za Kongamano la Kila Mwaka -

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa maelezo Zaidi, Tafadhali zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Denmark:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Denmark

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Denmark

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu