Tufani ya Twitter
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Khilafah Itatokomeza Mfumko wa Bei Uliokithiri, kupitia Sarafu ya Dhahabu na Fedha
Khilafah Itatokomeza Mfumko wa Bei Uliokithiri, kupitia Sarafu ya Dhahabu na Fedha
Pakistan hutumia zaidi ya nusu ya ushuru unaokusanywa kwa malipo ya riba.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imekamilisha kampeni pana kwenye mitandao ya kijamii kwa anwani:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni pana kwenye mitandao ya kijamii kutaka kufugwa kwa angani ya Pakistan kwa droni za mauaji na ndege za ujasusi za Amerika.
Imekuwa miaka miwili tangu Raja Dahir wa zama zetu, Modi, kuiunganisha kwa nguvu Kashmir Iliyokaliwa mnamo 5 Agosti 2019.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa anwani "Kuikomboa Kashmir ni Faradhi ya kisheria!" Ili kuthibitisha uhakika wa kisheria kuhusu kadhia ya Kashmir, kwamba ni ardhi za Kiislamu zinazokaliwa na Dola kafiri ya Kibaniani,
Silaha za kisasa za majeshi waoga wa Amerika hazikulingana na Waislamu wenye silaha duni ambao hawakumuogopa yeyote isipokuwa Mwenyezi Mungu (swt), huku wakitamani kuuawa mashahidi au ushindi.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni pana katika mitandao ya kijamii kwa anwani "Khilafah Itaikomboa Pakistan Kutokana na Sera Angamivu za Mfuko wa Fedha wa Kimataifa" ili kuirudi bajeti iliyo wasilishwa na watawala wa Pakistan,
Chini ya mazingira ya kambi katika ardhi iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambuliozi ya mara kwa mara yanayofanywa na umbile la Kiyahudi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na kumiminiwa mabomu ambayo yameendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa maandamano jijini Karachi ili kutoa wito na kutafuta nusra kutoka kwa majeshi ya Kiislamu, miongoni mwao likiwa ni jeshi la Pakistan, kuunusuru na kuukomboa Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa.
Uislamu katu hauruhusu majadiliano ya kukubaliana na makafiri kuhusu maswala ya Ardhi za Waislamu na haki na ulinzi wa Waislamu.