Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Kunyenyekeza Kiuchumi ni Ala ya Kikoloni Kupata Udhibiti wa Kisiasa katika Ardhi za Waislamu!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Watawala wa Pakistan wanaendelea kuukumbatia ulazimishaji wa kiuchumi kuliko masuala ya heshima ya Mtume (saw), Kashmir Iliyokaliwa na kulinda ushawishi wa Marekani nchini Afghanistan.