Jumatatu, 17 Muharram 1444 | 2022/08/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Hotuba ya Imran Khan Yathibitisha Kufeli Kiulimwengu kwa Nidhamu ya Kiuchumi ya Kirasilimali Ambapo ni Khilafah Pekee Ndio Inayotoa Kimbilio!

Hotuba ya kitaifa ya Imran Khan inathibitisha kwamba Pakistan haiwezi kamwe kufanikiwa wakati inafungamana na mfumo wa sasa wa kiuchumi wa kiulimwengu. Imran alitangaza afueni ya muda tu ili kushinda uchaguzi ujao, wakati itaongeza deni. Kisha, baada ya uchaguzi, kodi itaongezwa ili kulipia malipo ya riba yaliyoongezwa, ingawa tayari nusu ya kodi ya Pakistan inatumika kulipa riba.

Kutoroka kwa Pakistan kutoka kwa mzunguko wa unafuu kabla ya uchaguzi na kubana deni na kodi baada ya uchaguzi kunaweza tu kuvunjwa na Khilafah. Khilafah itaondoa malipo ya riba, pamoja na utozaji kodi kwa maskini na wenye deni. Khilafah itaondoa mfumko wa bei kwa kutumia sarafu thabiti ya Uislamu ya dhahabu na fedha. Khilafah itaunganisha rasilimali za nishati za Ummah katika dola moja, na hivyo, kukomesha udhibiti wa Marekani wa bei ya mafuta.

أقيموا_الخلافة#

#Time4Khilafah

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#TurudisheniKhilafah

Jumatano, 29 Rajab 1443 H - 02 Machi 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu