Ijumaa, 16 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Ikomboeni Kashmir!

Kashmir inaashiria wazo la Pakistan. Wazo la Pakistan lilikuwa juu ya kukataa kusalimu amri kwa Mabaniani, kupitia kuasisi jamii inayotawaliwa na Uislamu. Leo, Kashmir inayokaliwa kimabavu inaendelea kupinga utawala wa Kibaniani, huku watawala wa Pakistan wamejisalimisha kwa utawala wa kieneo wa Mabaniani. Vikosi vya kijeshi vya Pakistan lazima visimamishe tena Khilafah, ambayo itamaliza utawala wa kieneo wa Mabaniani, kulirudisha Bara dogo la India kwa utawala wa Kiislamu na kuikomboa Kashmir kupitia Jihad.

#Time4Khilafah

#Khilafah_NewState_NewPolitics

Jumatano, 02 Shaban 1444 H - 22 Februari 2023 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu