Alhamisi, 18 Ramadan 1445 | 2024/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: Ripoti ya Habari 23/03/2022

Matukio ya halaiki yaliyofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo kwa ajili ya kuadhimisha miaka 101 ya kuangamizwa kwa Dola ya Khilafah, ili kuhuisha Umma wa Kiislamu ili stenyn motisha yao ya kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida.

Mashababu wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan katika mji wa El Obeid mnamo Jumatatu, Februari 21, 2022 waliandaa maonyesho ya vitabu vya kisiasa.

Mabango yalitundikwa kwenye madaraja katika mji mkuu na katika miji mbalimbali mnamo tarehe 28 Rajab 1443 H sawa na 01 Machi 2022 M kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah.

Mashababu wa Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika jimbo la Al-Kalakila walifanya hotuba ya kisiasa katika Msikiti wa Sheikh Daffa Allah ulioko magharibi mwa Al-Kalakila, baada ya swala ya Ijumaa Februari 25, 2022 M, iliyokuwa kwa anwani, "Waislamu walipoteza nini kwa kukosekana Khilafah.” Ust. Basil Mustafa alizungumza kuhusu kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Khilafah na hasara yake chungu na ya kusikitisha na jinsi ambavyo ndio mama wa majanga yote.

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu