Jumanne, 03 Rajab 1447 | 2025/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan
Wakutana na Kiongozi wa Al-Ikhwan Al-Muslimina Hassan Abdel Hamid
(Imetafsiriwa)

Jana, Ijumaa 19/12/2025, ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, ukiongozwa na Ustadh Nasser Ridha, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan, akifuatana na Ustadh AbduAllah, Mratibu wa Kamati hiyo, ulikutana na Ustadh Hassan Abd Al-Hameed kiongozi katika Al-Ikhwan Al-Muslimina nchini Sudan.

Mkutano huo ulizungumzia hali ya kisiasa ya sasa, na mpango wa Amerika wa kuigawanya Sudan kwa kutenganisha Darfur, na kutoepukika kukabiliana na mipango ya Magharibi kwa mradi wa kuunganisha Ummah; mradi wa Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, ahadi ya Mwenyezi Mungu (swt), na bishara njema ya Mtume wetu Muhammad (saw). Ujumbe huo ulithibitisha mawasiliano endelevu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu