- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Sweden:
Kisimamo “Mauaji dhidi ya Raia mjini Gaza hivi sasa! Simama kwa Heshima!”
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 18, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu 180,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Sweden iliandaa kisimamo mbele ya ubalozi wa Marekani katika mji mkuu, Stockholm, chenye kichwa “Risala kwa Majeshi ya Waislamu!” Hotuba ilitolewa kwa hadhira na ustadh Yusuf Abu Hisham.
Jumamosi, 14 Shawwal Al-Khair 1446 H sawia na 12 Aprili 2025 M
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Sweden:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Sweden
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Sweden
Akaunti ya Tiktok ya Hizb ut Tahrir / Sweden