Ijumaa, 14 Muharram 1444 | 2022/08/12
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Syria: Ripoti ya Video ya Warsha ya Atma "Mabomu ya hivi majuzi... Je! Matumaini ya Kurudi Yamepotea?"

Ripoti ya video ya Warsha iliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Atma viungani mwa Idlib kama sehemu ya msururu wa warsha zilizoandaliwa eneo la kaskazini mwa Syria lililokombolewa ili kueneza utambuzi wa kisiasa kati ya watu, na zilikuwa kwa anwani:

"Mabomu ya hivi majuzi... Je! Matumaini ya Kurudi Yamepotea?"

Ambapo Ustadh Ahmed Abdel Wahhab / Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Syria na Ustadh Abdullah Al Sheikh, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria, wallihutubia ndani yake.

Alhamisi, 16 Safar 1443 H sawia na 23 Septemba 2021 M

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu