- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Kongamano la kila Mwaka la Khilafah "Kuporomoka kwa Dola ya Kisasa na Hakuna Wokovu Isipokuwa kwa Dola ya Khilafah"
Asubuhi ya Jumamosi, 25 Februari 2023 M, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia itafanya Kongamano la kila mwaka la Khilafah chini ya kichwa:
"Kuporomoka kwa Dola ya Kisasa na Hakuna Wokovu Isipokuwa kwa Dola ya Khilafah"
Hii itakuwa saa nne unusu asubuhi kwenye ukumbi wa semina - makutano ya barabara ya La Soukra na Ariana katika mji mkuu wa Tunis. Litapeperushwa moja kwa moja na Al-Waqiyah TV Mwenyezi Mungu akipenda.
Jumamosi, 05 Shaaban 1444 H - 25 Februari 2023 M

- Video ya 1 ya Ualishi wa Kongamano la Khilafah la kila Mwaka -

- Video ya 2 ya Ualishi wa Kongamano la Khilafah la kila Mwaka -

- Video ya 3 ya Ualishi wa Kongamano la Khilafah la kila Mwaka -

- Video ya 4 ya Ualishi wa Kongamano la Khilafah la kila Mwaka -

- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Amali ya Kongamano la Khilafah la kila Mwaka -

| #Time4Khilafah | #EstablishKhilafah |
| #ReturnTheKhilafah | أقيموا_الخلافة# |
| #KhilafahBringsRealChange | #بالخلافة_يحصل_التغيير_الحقيقي |
| #YenidenHilafet | كيف_تقام_الخلافة# |
| #TurudisheniKhilafah | #HakikiDeğişimHilafetle |

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia




