Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Matembezi ya Istanbul “Sauti Moja na Moyo Mmoja kwa ajili ya Gaza!”

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya wanaume na wanawake elfu 70 wa Kiislamu mpaka kufikia sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki, iliandaa matembezi makubwa ya halaiki na amali pana katika eneo la Al-Tatih jijini Istanbul yenye kichwa:

“Sauti Moja na Moyo Mmoja kwa ajili ya Gaza!”

Kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Jumapili, 04 Jumada Al-Akhir 1445 H sawia na 17 Disemba 2023 M

Sehemu ya Amali ya Matembezi katika Jiji la Istanbul

 

Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari kwa Kichwa:

"Istanbul imekuwa Sauti Moja kwa ajili ya Gaza: Khilafah ndiyo Itakayoikoa Palestina!"

Iliyotolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut  Tahrir katika Wilayah ya Uturuki

Jumatano, 07 Jumada Al-Akhir 1445 H sawia na 20 Disemba 2023 M

Bonyeza Hapa

Alama Ishara za Amali Hizi

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu