Jumatatu, 18 Dhu al-Hijjah 1445 | 2024/06/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali Kubwa “Imetosha… Umewadia Wakati wa Vitendo sio Maneno!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miezi saba, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 115,000, wanaume na wanawake, hadi sasa, Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Uturuki inaandaa amali kubwa za halaiki katika maeneo 17 tofauti tofauti nchini Uturuki zenye kichwa:

“Imetosha… Umewadia Wakati wa Vitendo sio Maneno!”

Kuwataka Waislamu kuungana pamoja chini ya bendera ya Khalifa mmoja mwenye kuyahamasisha majeshi mara moja kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokalia kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutoka kwenye makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Ijumaa, 02 Dhul-Qa’ada 1445 H sawia na 10 Mei 2024 M

- Sehemu ya Amali Kubwa za Umma kote nchini Uturuki -

 

Click to enlarge image Adana.jpg

Click to open image!

Programu ya Amali za Siku ya Ijumaa 10/05/2024 M

• Ankara Hacı Bayram Camii cuma namazı sonrası
• Düzce Merkez Büyük Camii cuma namazı sonrası
• Hatay Sanayi Camii cuma namazı sonrası
• Kahramanmaraş Uncular Camii cuma namazı sonrası
• Siverek Sulu Camii cuma namazı sonrası
• Tatvan İbadullah Camii cuma namazı sonrası
• Van Hz. Ömer Camii cuma namazı sonrası
• Şanlıurfa Dergah Cami Platosunda Cuma namazı sonrası

Programu ya Amali za Siku ya Jumapili 12/05/2024 M

• Adana İnönü Parkı Saat 15.00
• Aydın Kent Meydanı Bey Camii karşısı Öğle namazı sonrası
• Batman Gülistan Caddesi Saat 14.00
• Bursa Şehreküstü Meydanı Saat 14.30
• Gaziantep Balıklı Meydanı Saat 14.00
• İstanbul Yürüyüş Başlangıç Fıstıkağacı Metro istasyonu Varış Üsküdar meydanı Saat 14.00
• İzmir Konak Meydanı Akbank Önü Öğle namazı sonrası
• Konya Ilgın Kurşunlu Camii İkindi namazı sonrası
• Mersin Ulu Camii İkindi namazı sonrası

- Alama Ishara ya Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu