Fuliza M-Pesa, Riba Inayofululiza
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wakenya walikopa kutoka kwa mfumo wa FULIZA wa Safaricom shilingi bilioni 1.32 kila siku hii ikiwa ni kati ya mwezi Aprili na Septemba mwaka huu jambo linaloonesha wazi hali ya wakenya kutegemea mikopo kwa matumizi yao ya nyumbani.



