Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi kutoka kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd Al Adha 1444 H
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pongezi kutoka kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd Al Adha 1444 H
Pongezi kutoka kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd Al Adha 1444 H
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:
Kitengo cha Wanawake: “Wito wa Kuihami Heshima ya Dada Zetu Waislamu nchini Syria!”
Kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia kimezindua kampeni pana yenye kichwa:
“Usekula Unawahadaa Watoto Wetu na Wokovu wao uko Mikononi Mwetu”
Risala zilizotolewa na kundi la wabebaji Da’wah zilizoelekezwa kwa Hay’at Tahrir Ash-Sham (HTS) baada ya kuvamia nyumba za wabebaji Dawah na kuwakamata mashababu kadhaa wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria kwa njia ya kishenzi, ukiukaji utukufu, katika mandhari ya kutisha iliyo mbali na maadili ya Uislamu na Waislamu.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitri Al-Mubarak 1444
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Wabebaji Ulinganizi kote Ulimwenguni kwa Ujio wa Idd ul-Fitri Al-Mubarak
Ujumbe wa Dkt. Nazreen Nawaz kwa Mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadan 1444 H
Chaneli ya Kiislamu ya Oasis yafanya mjadala na Dkt. Nazreen Nawaz, Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kuhusiana na Sheria ya Kiislamu ya Urathi.
Katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina chini ya kichwa:
“Khilafah Itakomboa Ardhi na Kulinda Heshima”
Katika mwezi wa Rajab Tukufu ya mwaka huu wa 1444 H Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon imezindua kampeni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 Hijria ya kuvunjwa Khilafah kwa kichwa:
“Hali Ingekuwaje Kwetu lau Tungekuwa na Khilafah na Khalifa!?