Jumapili, 28 Dhu al-Hijjah 1447 | 2026/06/14
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
kesho kutwa

kesho kutwa

Kutokana na Mikutano na Maandamano kote Nchini, Wanafunzi na Watu Jumla Wanataka Ukombozi wa Palestina

Watu jumla na hasa wanafunzi wa ngazi zote, wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu, vyuo na shule mashuhuri nchini humu, wamekasirishwa na kuendelea kwa mauaji ya Waislamu wa Palestina na umbile lililolaaniwa la Kiyahudi, na kutokana na mikutano mbalimbali, maandamano yenye mfano minyororo ya kibinadamu, wanataka ukombozi wa Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina.

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir Wazuru Makao Makuu ya Shirika la Leba la Tunisia

Mnamo siku ya Alhamisi, tarehe 06/06/2024 M, ujumbe kutoka Hizb ut  Tahrir/Wilayah Tunisia, ukiongozwa na Ustadh Abdul Raouf Al-Amiri, Mkuu wa Afisi ya Kisiasa, Ustadh Yassin Bin Yahya, Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano, na Ustadh Muhammad Al-Habib Al-Hajjaji, Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb, ulizuru makao makuu ya Shirika la Leba la Tunisia.

Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu