Je, haijatosha Kwenu kuwa Wanyonge na Watiifu?!
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Katika siku ya 220 ya uvamizi wa umbile la Kiyahudi dhidi ya Ukanda wa Gaza, mashambulizi ya angani yaliendelea kwenye kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.



