Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 494
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 494
Vichwa Vikuu vya Toleo 494
Siri ya ushindi wa zamani wa Waislamu dhidi ya majeshi makubwa zaidi ni nguvu ya kiroho ya Waislamu. Majeshi ya Waislamu yalitoka nje kwa lengo la kiroho, sababu ya kueneza nuru ya Uislamu, sababu ya kutakasa ardhi kutokana na uchafu wa makafiri.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan, ukiongozwa na Ustadh Nasser Ridha, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Sudan, na wanachama Ustadh Abdullah Hussein, Mratibu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano, na Ustadh Muhammad Mukhtar, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir, alikutana na idadi ya viongozi wa Harakati ya Islamic Action katika afisi ya Hizb mjini Port Sudan, Jumapili, 26 Shawwal 1445 H sawia na 05/05/2024.
Kwa nyoyo zenye subira na kuridhia, Hizb ut Tahrir katika Wilayah Iraq inamuomboleza mmoja wa Mashababu wake, ndugu mheshimiwa: Nafea Al-Mahlawi (Abu Anas).