Tunawapongeza kwa Munasaba wa Siku Kuu ya Idd ul Fitr
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Hizb ut Tahrir / Kenya ingependa kutoa salamu za dhati za Idd ul-Fitr kwa Waislamu nchini Kenya na dunia nzima kwa ujumla. Tunatoa pongezi zetu kwa wabebaji wa Da’wah wa Ummah wanyoofu wanaofanya kazi bila kuchoka kuelekea kusimamisha tena Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.



