Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 488
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 488
Vichwa Vikuu vya Toleo 488
Ajenda ya kilimwengu ya kukandamiza kitambulisho cha Kiislamu na kutumia unyanyasaji mkali kwa Ummah wa Muhammad (saw) iko hai na inatumika katika DOAMuslims,
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kauli moja liliidhinisha azimio la kuongeza muda wa Misheni ya Usaidizi ya Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan (UNAMA) kwa mwaka mwingine.
Mnamo tarehe 12/03/2024, wakati wa uzinduzi wa toleo la 20 la Taarifa ya Hali ya Sasa ya Uchumi wa Tanzania jijini Dar es Salaam,