Jumatatu, 01 Dhu al-Hijjah 1447 | 2026/05/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
kesho kutwa

kesho kutwa

Marekani Yamiliki kwa Kiburi Uhalifu Wote wa Umbile la Kizayuni huko Palestina

Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani Jake Sullivan alikutana na maafisa wa 'Israel' akiwemo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu mnamo tarehe 15 Disemba, 2023. Shirika la habari la Reuters liliripoti kwamba aliwaambia waandishi wa habari kwamba: "Kutakuwa na mpito kwa awamu nyingine ya vita hivi, ambayo inalenga kwa njia sahihi zaidi kulenga uongozi na shughuli zinazoendeshwa kijasusi ...

Vita vya Fitna Vinaweza Tu Kwisha kwa Kuunganisha Pakistan na Afghanistan kama Dola Moja ya Khilafah

Pakistan ilipoteza wanajeshi ishirini na watano katika Dera Ismail Khan wa Khyber Pakhtunkhwa, mrengo wa masuala ya vyombo vya habari wa jeshi (ISPR), ulisema mnamo tarehe 12 Disemba 2023. Tehreek-i-Jihad Pakistan (TJP), kundi jipya linaloshirikiana na Tehreek-i-Taliban Pakistan (TTP), ilidai kuhusika na shambulizi kwenye kituo cha ukaguzi.

Umma wa Muhammad Umeachwa Unazama kwenye Mafuriko ya Matope na Takataka Bila ya Khilafah

Gazeti la ‘The Guardian’ liliripoti kuwa baadhi ya maeneo ya Gaza yanakabiliwa na mafuriko makubwa wakati wa msimu huu wa baridi baada ya usiku wa mvua kubwa na upepo mkali.  Maeneo yaliyoathiriwa ni pamoja na kambi za wakimbizi za Jabalia. Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa zaidi ya 85% ya raia wa Gaza sasa wamekimbia makaazi yao; wengi wao ni wanawake na watoto.

Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu