Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 323
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 323
Vichwa Vikuu vya Toleo 323
Waziri wa Uwiano, Mattias Tesfaye, alisema katika mahojiano huko Jyllands Posten mnamo 22/01/2021 kwamba "nusu ya pili" katika mvutano wa maadili dhidi ya Uislamu linaendelea!
Tunapoiangalia dunia, tunaona makundi ya nchi washirika yakiwa yanapingana kila moja, na tutashangazwa juu ya tofauti itayokuwepo kama kutakuwa na Dola ya Khilafah katika mchanganyiko huo.
Kisimamo katika kijiji cha Killi Al-Khansa viungani mwa Idlib, kwa anwani "Matukio ya Daraa (Tafas) yathibitisha mwendelezo wa mapinduzi na udhaifu wa serikali."