Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 313
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 313
Vichwa Vikuu vya Toleo 313
Jana, Jumapili adhuhuri, Vikosi vya Usalama vya Uzuizi viliwakamata mashababu watano wa Hizb ut-Tahrir kutoka mji wa Dura, kusini mwa Hebron,
Watawala wa Tunisia wamefikia kiwango kikubwa katika ujasiri wao dhidi ya dini ya Mwenyezi Mungu; baada ya kuutenga kwao Uislamu kutoka katika utawala,
Athari za ukoloni na ukoloni mamboleo kwenye mfumo wa elimu katika nchi za Waislamu zimekuwa wazi kwa Umma wa Kiislamu.