Minbar ya Umma: Maandamano Katika Mji wa Sahara ya Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Halaiki ya watu wa mji wa Sahara viungani mwa Aleppo ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na kulaani mabomu ya muungano wa makruseda.



