Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
Maafisa wa upelelezi wa Kenya watapendekeza kushtakiwa kwa maafisa wakuu wasiopungua 15 wa serikali na wafanyibiashara juu ya madai ya matumizi mabaya ya mamilioni ya dolari yaliyokusudiwa kununua vifaa vya matibabu vya Covid-19.
Saudi Arabia itakuwa mwenyeji wa mashindano ya kitaalam ya gofu kwa wanawake kwa mara ya kwanza mnamo Novemba katika uwanja wa Royal Greens Golf & Country Club mjini Jeddah. (Reuters 29/9/2020)
Kuanzia 11 hadi 13 Septemba 2020, uchaguzi wa rais wa jamhuri na manaibu wa manispaa ulifanyika nchini Tatarstan.