Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 306
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 306
Vichwa Vikuu vya Toleo 306
Mnamo Septemba 16, 2020, Mahakama ya Kijeshi ya Wilaya ya Kusini ya Shirikisho la Urusi huko Rostov-on-Don ilitangaza uamuzi dhidi ya Waislamu 8 kutoka Crimea katika kile kinachoitwa "kesi ya pili ya Bakhchisaray ya Hizb ut Tahrir".
Vazi la mwanamke wa Kiislamu, ima Khimar, jilbab au Niqab kamwe huwa haliko mbali na vyombo vya habari au kurunzi ya kisiasa ndani ya dola za kisekula.
Naibu Waziri wa Kigeni wa Amerika Stephen Biegun amedokeza kuwa ushirikiano usio rasmi kati ya Amerika, Australia, Japan, na India unaweza kuwa mwanzo wa mtindo wa muungano wa NATO katika eneo la Indo-Pasifiki.