Alhamisi, 22 Shawwal 1447 | 2026/04/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
kesho kutwa

kesho kutwa

Mikutano na Matembezi ya Kulaani Yaliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh: Enyi Watu! Pingeni Mpango wa Kupeleka Jeshi Letu Gaza chini ya Kikosi Kilichopendekezwa na Trump, na Takeni Msimamo Wazi kutoka kwa Wagombea katika Uchaguzi Ujao

Hizb ut Tahrir katika Wilayah Bangladesh, iliandaa mikutano na matembezi mengi ya kulaani leo, Ijumaa (16 Januari 2026), baada ya swala ya Ijumaa, katika majengo mbalimbali ya misikiti jijini Dhaka na Chattogram, dhidi ya mpango wa kupeleka vikosi vya nchi hii kwa “Kikosi cha Kuleta Utulivu wa Kimataifa” kilichopendekezwa na Trump huko Gaza. Ili kupinga mpango huu mbaya wa Marekani, na kuwataka wagombea na vyama vya kisiasa katika uchaguzi ujao kuelezea msimamo wao kuhusu suala hili.

Barua ya Wazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa ASIO Mike Burgess kutoka Hizb ut Tahrir / Australia

Kuhusu Khilafah, jaribio lako la kutia matope maji lilionekana wazi zaidi ulipopotoka wakati wa majadiliano yako ya baada ya muhadhara. Kwanza, ombi lako la mila za chuki dhidi ya Uislamu linawachora Waislamu kama daraja za tano katika nchi hii, inayothibitishwa kupitia kuwepo kwao tu, inazidi mipaka yote ya usawa na kutokuwa na upendeleo. Muhadhara huu kamwe haukuwa kuhusu kuwasilisha ukweli bali kuhusu kuendeleza ajenda.

Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu