Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Mkutano wa Kila Wiki wa Vyombo vya Habari - 28/01/2025
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Mkutano wa Kila Wiki wa Vyombo vya Habari - 28/01/2025
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Mkutano wa Kila Wiki wa Vyombo vya Habari - 28/01/2025
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria kilishiriki kwa kalima hii ya dada mwema Khadija Al-Shaykh, yenye kichwa “Katika mwezi wa Rajab, machozi yanatiririka na matamanio yanapita kasi.”
Kwa mnasaba wa kumbukumbu (miaka 104 H) ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H sawia na 03/03/1924 M mikononi mwa wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, na kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) yaliyofanywa na umbile nyakuzi la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), Hizb ut Tahrir / Indonesia iliandaa matembezi makubwa katika mji mkuu wa Jakarta yenye kichwa “Palestina itakombolewa kupitia Khilafah na Jihad”.
Ripoti ya jibu la swali lililotolewa na Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amhifadhi, kuhusu mabadiliko mapya ya kisiasa nchini Lebanon.