Khilafah: Suluhisho kwa Majanga ya Chakula Ulimwenguni
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumatano, 5 Mei 2021 muungano wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa, Muungano wa Ulaya, mashirika ya kiserikali na yasiokuwa ya kiserikali yanayofanyakazi kutatua majanga ya chakula yalitoa Ripoti ya 2021 ya Kiulimwengu kuhusu Majanga ya Chakula (GRFC 2021).